"Mtu anaingia kwenye uhusiano na skrini yake, uhusiano ambao haumlazimishi kuelewa au kujitolea, kwa hivyo anapoteza uwezo wa kuwa kwenye uhusiano wa kweli, ana skrini yake na raha yake ya muda ya ...
Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya video za ngono inaweza kuwa sehemu ya hiki kilichoshuhudiwa hivi karibuni katika maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea.
Vyombo vya habari Tanzania vimetakiwa kuwa na sera ndogo ya kupinga rushwa ya ngono katika vyumba vya habari inayoonekana kushamiri katika kipindi cha hivi karibuni hasa kwa waandishi waolipwa kwa ...
Mamlaka ya mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania imeunda kamati nne kwa ajili ya kupambana na biashara za ngono na mapenzi ya jinsia moja, ili kukabiliana na uvunjwaji wa maadili na sheria nchini humo ...