Kuwa na saratani sio kwamba sasa umehukumiwa kifo, lakini ni imekuwa kawaida watu wengi huamini hivyo. Leonora Argate alipopata uvimbe kwenye titi lake, jambo la kwanza alilohisi lilikuwa hofu.